Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamani jambilo unataka usikie nin ili ujue ni yesu wa nazareth anapita, siku ya leo amekuchagua wewe na si Zakayo..
Mim dio zakayo mkuu, mimi ni jitu la vita nalikwambia jana, au mzee wa kudimamisha jua...Mr. Jo...nadhani hadi hapo na jina umelifahamu wew ni msomi wa bible.
Unajua huyu patience123 nalimwona kitambo nkasikia amani ya ajabu, nkamfuatilia nkajua hadi anaishi wp, nilichokuwa nasubiri ni lile neno..nalithibitishwe na watu wawili,..umethibitisha, naye kathibitishe..ngoja niendelee kuiliza zaidi
 
Mkuu Th Name nikuombe kwa heshima na tahadhima uje uongoze couple hii mpya katika daftari lako..Hakika hii inazidi kupendeza mno..Na tangu sasa mmekuwa mwili mmoja alichokiunganisha Manuu hakuna awezaye kukitenganishi isipokuwa Manuu mwenyewe..
Puuhahahahaaaaa.....
 
1460805928729.jpg
kwa walioko single kama mimi mukuje kipande hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom