sizzya007
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 773
- 2,422
To you too mkuu..Niko na kibarua pevu hapa karibu sana..
Kipi mkuuets share a piece of cake🙄
To you too mkuu..Niko na kibarua pevu hapa karibu sana..
Wacha tuone tatizo jamaa hachangamkii mtoto..We mteteee tu
Utumishi kamwe hauwekwi pembeni,maana ameweka nadhiri,nitakachofanya ni kuunganisha karama tu,yeyey anakuwa baba mtumishi.na mimi nakuwa mama mtumishi,tukijifungia tunafanya maombi ya nguvu,usimkatishe mtumishi tamaa bhanaa.Utumishi kwa mtoto mzuri kama Patience123 unawekwa pembeni...
for all kapuku' members, ningependa kujua yafuatayo kutoka kwenu !
ASL..
Age
Sex
Location..
Naombeni ushirikiano wenu
Mbona wengine single but happy.. Muache banaWacha tuone tatizo jamaa hachangamkii mtoto..
Adultfor all kapuku' members, ningependa kujua yafuatayo kutoka kwenu !
ASL..
Age
Sex
Location..
Naombeni ushirikiano wenu
So tuandae chai?Watoto wazuri jimena, lizzbettie, cute b, nahrene sukari yenu nimefikaaaa
Namsubiri hata anisalimie jamanHana shida mbona sioni ukichachamaa sasa ni nini mbaya... Patience123 kwani kuna shida kuongozana kwenye huduma za kiroho?
Na iwe hivyo kwako kijanaMkuu Namwamini Yesu.
Mkijifungia yawe maombi kweli. Mambo mengine mpaka wakati wa bwana ufike.Utumishi kamwe hauwekwi pembeni,maana ameweka nadhiri,nitakachofanya ni kuunganisha karama tu,yeyey anakuwa baba mtumishi.na mimi nakuwa mama mtumishi,tukijifungia tunafanya maombi ya nguvu,usimkatishe mtumishi tamaa bhanaa.
Nikushukuru sana Patience123 kwa ufafanuzi huu maridhawa naamini HOPECOMFORT atakuwa amepata jibu la swali lake..Utumishi kamwe hauwekwi pembeni,maana ameweka nadhiri,nitakachofanya ni kuunganisha karama tu,yeyey anakuwa baba mtumishi.na mimi nakuwa mama mtumishi,tukijifungia tunafanya maombi ya nguvu,usimkatishe mtumishi tamaa bhanaa.
Aje hapa atupe majibu la sivyo tutaamini ni kweli peterchoka ni Ommy Dimpoz wa MAKAPUKU Forum.Itakuwa anatafuta namna ya kuficha aibu.
Cc peterchoka
Umechelewa mkuu tatizo huna patience.Huyu patience 123 naye already taken😱😱
Ni ndugu yangu wacha tupambane nae..Mbona wengine single but happy.. Muache bana
Upo single kwani mkuuHuyu patience 123 naye already taken😱😱
Sex as a sex or sex as a gender??for all kapuku' members, ningependa kujua yafuatayo kutoka kwenu !
ASL..
Age
Sex
Location..
Naombeni ushirikiano wenu
Mbona mtoto anajimwaya mwaya huku na hadi keshajiita mama mtumishi bana... Patience123Namsubiri hata anisalimie jaman