shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Karibu jiraniLeo naona bado hawajakata
Karibu jiraniLeo naona bado hawajakata
Poa jirani, kwa kuadimika tu hujamboHabari yako jirani
yap, Huyo ndio yuko kwenye dola 100. Pia hujulikana kama C-note.Zamani nilikuwa najua ile dola 100 yule ni Abraham Lincoln...kumbe yeye yuko kwenye dola 50
Kama tigo ni siasa kabisaWengineo ni siasa.
Asante MussoLeo katika Historia:
Sina la ziada, tukutane baadae kwenye Kariakoo Derby.
Kwaherini!!
Kwema, tupo kapuku..kwema Makapuku wenzangu?!
Hao jamaa ni huwa siwaaminiKama tigo ni siasa kabisa
Yaani upuuzi mtupu!1Ambalo tunalipishwa hela
pa1Asante Musso
Akati wenzetu wameshaona Solar system Live, sisi huku ni Rubbish!View attachment 410120View attachment 410121View attachment 410122
Sisi tupo ulimwengu wa mapangaboi
........
Tuvaru ni nchi gani? au ni kisiwa1978 - Tuvalu yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
Ndio hivyo ushazaliwa bongoAkati wenzetu wameshaona Solar system Live, sisi huku ni Rubbish!
Kumbe wana mashirika ya kupambana na ujasusi mengi...1961 - Defense Intelligence Agency ( DIA ) yaanzishwa ncini Marekani.
Ni shirika la Ujasusi la Jeshi la Nchi hiyo.
pitia huko utaona Bitoz katupia pichaTuvaru ni nchi gani? au ni kisiwa
Na asilimia kubwa wale ni non-believers sasa sijui waliamua nini kusema In God we trust isije ikawa walimaanisha:-
Goos afternoon WerrasonGoodmorning family
Sisi la kwetu limejengwa juzi kati tu na bado magari yanalipia kupitaView attachment 410091View attachment 410092View attachment 410093
Maendeleo
Sisi tunatambia Kigamboni(Nyerere)Bridge
......
.
Ila CIA ndio itakuwa maarufu sana eti eeh?Jamaa wanamashirika mengi ya ujasusi mpaka hatari
