MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Hivi ni TV gani itaonyesha Simba na Yanga live?
Wehu lakini vichwani wako njemakweli kabisa wale jamaa ni wehu

SalamaHabari za mchana Makapuku wote
wehu wa akili,yaan zimepitiliza kama lipumba(nimechomekea tu)Wehu lakini vichwani wako njema
Huyo profesa mtoewehu wa akili,yaan zimepitiliza kama lipumba(nimechomekea tu)
Dj Cobblepots ndio kapotea sana aisee, Old is Gold ntaileta saa nane na nusu.
Asante Kapuku hahahahahaSalama
Ila best una kipaji cha kusalimia
Hongera sana
Tutegee Channel TenHivi ni TV gani itaonyesha Simba na Yanga live?
Hahaa ndio, Kitwanga ana bidii sanaSalama
Ila best una kipaji cha kusalimia
Hongera sana
Mmmh huu utani hahahahahaTutegee Channel Ten
Bidii ya kusalimia hahahahahaHahaa ndio, Kitwanga ana bidii sana
acha ubahili,kodi unakwepa nenda uwanjani mara moja!!!!!!!!!!Nabana matumizi ya tiketi, kwa hiyo nataka kuangalia mechi kwenye TV
Sawa naisubiria kwa hamuDj Cobblepots ndio kapotea sana aisee, Old is Gold ntaileta saa nane na nusu.
TV???????!!?!!?Hivi ni TV gani itaonyesha Simba na Yanga live?
Hiyo hela ni bora baadaye nikapigie kitwangaacha ubahili,kodi unakwepa nenda uwanjani mara moja!!!!!!!!!!