Makapuku Forum

Makapuku Forum

1975 - Thrilla in Manila. Ni jina la pambano lililowakutanisha Mabondia Muhammad Ali aliyempiga Joe Frazier ( The Smoking Joe ) huko Ufilipino.

Pambano hili linachukuliwa kama pambano bora kabisa la wakati wote, kwani Muhammad Ali alishambuliwa karibu muda wote wa mchezo kabla ya kuibuka na kumdondosha Joe.
 
1958 - NASA yaanza kutumika na kubadili NACA.
Screenshot_2016-10-01-10-15-06.png
IMG_20161001_101702.jpeg
IMG_20161001_101711.jpeg

Sisi tupo ulimwengu wa mapangaboi
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom