Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Shululu yeye ni..............Hahahahaha wewe unaonekana ni muumini wa kitwanga


Shululu yeye ni..............Hahahahaha wewe unaonekana ni muumini wa kitwanga


KunaIla CIA ndio itakuwa maarufu sana eti eeh?
Nimekupa thumbs up my Twin ila habari sitaki kuzisoma naona siku hizi zinanipa stress tu.View attachment 410039View attachment 410040View attachment 410041
Tusichoshane sana au sio??
Kila la heri Dar es salaam Young African katika mpambano wa Leo
Jina langu naitwa Jimena Jimenes nawatakia weekend njema na kila la heri katika kusubiria mechi ya watani wa jadi
Ukitaka kumkamata kuku,mpe mchele tuNa asilimia kubwa wale ni non-believers sasa sijui waliamua nini kusema In God we trust isije ikawa walimaanisha:-
G- Gold
O- Oil
D- Diamond
Maana mimi wamarekani naona ni wajanja sana huwa hawaweki kitu bila sababu.
Yani nuksi tu.Ndio hivyo ushazaliwa bongo
CIA na FBI wapo juu.Kuna
NCA
NASA
CIA
FBI
Hatimaye duHaiitaji kua hata na uprofesa au digree leo kujua simba anashinda kigumu kutabiri ni watashinda mangapi tu
HahahahahaShululu yeye ni..............![]()
Tusubiri mtanange tuHaiitaji kua hata na uprofesa au digree leo kujua simba anashinda kigumu kutabiri ni watashinda mangapi tu
kweli kabisa wale jamaa ni wehuNa asilimia kubwa wale ni non-believers sasa sijui waliamua nini kusema In God we trust isije ikawa walimaanisha:-
G- Gold
O- Oil
D- Diamond
Maana mimi wamarekani naona ni wajanja sana huwa hawaweki kitu bila sababu.
Haya hivyo Ali ni kiboko yaoHapana. Mara nyingi ili ushinde ni lazma ujue jinsi ya kumaliza pambano. Na hii ndio sifa kuu ya Ali.
Joe alijua sana jinsi ya kuanza ila hakuwa na mbinu ya jinsi ya kumaliza pambano.
Kabisa..... Wizi mtupuWengineo ni siasa.
Niaje pachaZamani nilikuwa najua ile dola 100 yule ni Abraham Lincoln...kumbe yeye yuko kwenye dola 50
Shwari weekend inaendaje my Sis? Çunado nae hajambo?Niaje pacha
Pia ni sawa tuNa asilimia kubwa wale ni non-believers sasa sijui waliamua nini kusema In God we trust isije ikawa walimaanisha:-
G- Gold
O- Oil
D- Diamond
Maana mimi wamarekani naona ni wajanja sana huwa hawaweki kitu bila sababu.
Hajambo, tupo tu tunajiwikiendishaShwari weekend inaendaje my Sis? Çunado nae hajambo?
Poa, tunasubiri old is ever goldHabari za weekend family![]()