Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1924 - Jimmy CARTER anazaliwa.
Ni Rais wa 39 wa Marekani.
Si ndo alikumbwa na kashfa?
........
1924 - Jimmy CARTER anazaliwa.
Ni Rais wa 39 wa Marekani.
1956 - Theresa May anazaliwa.
Ni Waziri Mkuu wa sasa wa Uingereza.
Kichwa cha Oxford
1966 - George Weah anazaliwa.
Mwanasoka wa zamani wa Liberia na klabu za PSG na AC Milan, ambaye mwaka 1995 alishinda tuzo za Mwanasoka bora wa Dunia, Mwanasoka bora Ulaya na Mwanasoka bora wa Afrika kwa pamoja.
Anabaki mwafrika pekee kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia.
Alibahatisha kumbe1975 - Thrilla in Manila. Ni jina la pambano lililowakutanisha Mabondia Muhammad Ali aliyempiga Joe Frazier ( The Smoking Joe ) huko Ufilipino.
Pambano hili linachukuliwa kama pambano bora kabisa la wakati wote, kwani Muhammad Ali alishambuliwa karibu muda wote wa mchezo kabla ya kuibuka na kumdondosha Joe.
Moja kati ya maraisi wa USA ninaowakubali1924 - Jimmy CARTER anazaliwa.
Ni Rais wa 39 wa Marekani.
Asante Musso kwa historiaLeo katika Historia:
Sina la ziada, tukutane baadae kwenye Kariakoo Derby.
Kwaherini!!
Aliingia kwenye siasa bila kuwasiliana na MarekaniView attachment 410158View attachment 410159
Ac MilanView attachment 410160
Liberia
Heshima kwake
.......
View nimeielewa hapo kwenye maji
DAIMA MBELE NYUMA MWIKOView attachment 410039View attachment 410040View attachment 410041
Tusichoshane sana au sio??
Kila la heri Dar es salaam Young African katika mpambano wa Leo
Jina langu naitwa Jimena Jimenes nawatakia weekend njema na kila la heri katika kusubiria mechi ya watani wa jadi
Limevunja rekodiLeo katika Historia:
1931 - Daraja la George Washington linalounganisha New Jersey na New York lafunguliwa rasmi.
Daraja hilo kwa mwaka linapitisha magari milioni 106 na kufanya kuwa daraja linalotumika na magari mengi zaidi Duniani.
4G sio lazima hata 3G kama speed imesimama haina shida. Mi bongo 4G nawaelewa smile tu waliobakia wote chengaWako poa sana! Tunasubiria 4g yao
Uko sahihi4G sio lazima hata 3G kama speed imesimama haina shida. Mi bongo 4G nawaelewa smile tu waliobakia wote chenga
Fake smile as usual
Itakuwa wanasali kupitia pesa
Tanesco wanakata sana umeme, hasa weekend sijui kwa niniTANESCO wamekata umeme
Simu haina chaji....wanafikiri wote tutaenda Taifa
![]()
![]()
![]()
..............
Vyeo vingapi hapo?
Wana-neutralize maana matumizi huwa makubwa mpaka wanazidiwaTanesco wanakata sana umeme, hasa weekend sijui kwa nini