Makapuku Forum

Makapuku Forum

1961 - Cameroon ya mashariki na ile ya magharibi zaungana na kutengeneza Shirikisho la Cameroon.
IMG_20161001_103001.jpeg
IMG_20161001_103011.jpeg

Sikuwahi kujua hii
........
 
1966 - George Weah anazaliwa.

Mwanasoka wa zamani wa Liberia na klabu za PSG na AC Milan, ambaye mwaka 1995 alishinda tuzo za Mwanasoka bora wa Dunia, Mwanasoka bora Ulaya na Mwanasoka bora wa Afrika kwa pamoja.

Anabaki mwafrika pekee kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia.
 
1975 - Thrilla in Manila. Ni jina la pambano lililowakutanisha Mabondia Muhammad Ali aliyempiga Joe Frazier ( The Smoking Joe ) huko Ufilipino.

Pambano hili linachukuliwa kama pambano bora kabisa la wakati wote, kwani Muhammad Ali alishambuliwa karibu muda wote wa mchezo kabla ya kuibuka na kumdondosha Joe.
IMG_20161001_103413.jpeg
IMG_20161001_103403.jpeg
IMG_20161001_103352.jpeg

Hatari sana
Nitaangalia clip yake
.........
 
1966 - George Weah anazaliwa.

Mwanasoka wa zamani wa Liberia na klabu za PSG na AC Milan, ambaye mwaka 1995 alishinda tuzo za Mwanasoka bora wa Dunia, Mwanasoka bora Ulaya na Mwanasoka bora wa Afrika kwa pamoja.

Anabaki mwafrika pekee kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia.
Wanasema alikuwa anafadhiliwa na matajiri wa Italy waliokuwa wameshikilia soka la Italy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom