shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Sana, kama uzee tu yuko hivyo, je ujana wake alikiwaje
Sana, kama uzee tu yuko hivyo, je ujana wake alikiwaje
Per mertesacker... Kweli bora aendelee kuumwa tu kwa hali hii..HPD Mertersacker, ila endelea kuumwa tu
Hbd captain1984 - Per Martersacker anazaliwa.
Ni beki wa Arsenal. Pia aliwahi kutamba na timu ya taifa ya Ujerumani.
Alishinda ubingwa wa Dunia akiwa na Ujerumani mwaka 2014.
Enzi zake sasa, ila Ac Milan ya wakati huo itachukua muda kupata timu kama hiyo tena
Viwanda hvyo tunajenga na nin!!??Ngoja kwanza tujenge viwanda
Sana
Thank you kapukuLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Europa League, tuonane kesho.
Wazir guu guu..









Mourinho hakuwa na mpango nae...
Morning bibieMorning
Acha kabisa.. Itakuwa ilikuwa ni shida..Sana, kama uzee tu yuko hivyo, je ujana wake alikiwaje
1988 - Kevin Durant anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Golden State Warriors.
Aliwahi kushinda tuzo ya MVP katika ligi ya kikapu y NBA.
Hehe bombadier hata rukwa zitatua tuView attachment 408798View attachment 408799
Kwa hisani ya bombadier sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama wa Leo
Naitwa Jimena Jimenes
Adios

Ndio chama pekee nililokuwa formation yake siielew, haiko kwenye mpangilio, uwanja mzima watu wanazunguruka.. Then katika list ya formation zote dunian hii haikuwepo.. Kocha alikuwa anawapa position tuu
Na kuna mtu alivumbua injini ya petrol na hivyo kupewa jina lake?Kumbuka kuna mafuta kwa ajili ya Injini ya Diesel na Petrol hivyo baada ya kugundua Injini ya dizeli, autimatic mafuta yakapewa jina la injini yake.
Ni poa sana ankali, kwema?Mambo vp Ankali
Mambo vp Ankali brizHehe bombadier hata rukwa zitatua tu![]()