Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hapo ndio miyeyusho kwetu sote.. Nakumbuka form 6 niko azania pale napiga PCM nikampa mimba binti mmoja yuko chuo.. Ndugu yangu nilitaman dunia ipasuke nidumbukie ndani.. Sio kwa shida nilizokuwa nakumbana nazo..[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]

Uzur siku zinapita na matatzo pia yatapiata[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Hakuna maisha yasiyokuwa na historia
 
Waingereza waliifanya kenya kama makao makuu yao hapa East Africa,hivyo wazungu wengi walikaa pale,walipoondoka waliacha kenya imara and the same to south africa
Tatzo sio kenya kuachwa imara.. Swali ni kwanini sisi tumerudi chini kutoka pale tulipoachiwa.. Miaka kama 18 hv au 20 tulikuwa na uchumi mzur tu baada ya uhuru..
 
Back
Top Bottom