Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tatzo sio kenya kuachwa imara.. Swali ni kwanini sisi tumerudi chini kutoka pale tulipoachiwa.. Miaka kama 18 hv au 20 tulikuwa na uchumi mzur tu baada ya uhuru..
vita ya kagera ilisababisha kuporomoka kwa uchumi,hivyo ilitubidi tuanze upya...lakini kiburi cha nyerere kupingana na "Capitalist" na kuwa "mjamaa"..wakenya wao walikuwa upande wa capitalist,ila nyerere ni mtu wa ajabu sana wakati anaondoka madarakani alisema "KWENYE UPANDE WA UCHUMI TUMEFELI,TUKUBALI HIVYO".
The Book
 
Hapo ndio miyeyusho kwetu sote.. Nakumbuka form 6 niko azania pale napiga PCM nikampa mimba binti mmoja yuko chuo.. Ndugu yangu nilitaman dunia ipasuke nidumbukie ndani.. Sio kwa shida nilizokuwa nakumbana nazo..

Uzur siku zinapita na matatzo pia yatapiata
Sasa mm hilo tatizo lako lilinipata nikiwa form 3,
Stress iliniandama sana na ndo chanzo cha kuanza kutumia mataputapu yote yaletayo stimu mwilin mwangu mpk leo hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom