Makapuku Forum

Makapuku Forum

JE WAJUA??
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
  • Arsenal wanashikilia rekodi ya kuingia kwenye mashindano na wachezaji 11 kutoka mataifa kumi na moja tofauti,kila mchezaji na nchi yake.
  • Real Madrid inashikilia rekodi ya kushinda mara nyingi zaidi (11) na rekodi ya kushinda mara 5 mfululizo(1956-1960)
  • Barca inashikilia rekodi ya kufika nusu fainali mara sita mfululizo.
  • Ni wachezaji wawili tu waliopewa kadi nyekundu katika mchezo wa "fainali",ambao ni Jens Lehman wa Arsenal na Didier Drogba wa Chelsea.
  • Benifica inashikilia rekodi ya kushinda magoli mengi zaidi katika mechi mbili dhidi ya Dudelange ambapo ilishinda kwa jumla ya magoli 18-0.
  • Mchezaji mkubwa zaidi kucheza UEFA ni Marco Ballorta wa Lazio akiwa na miaka 43.Na mdogo zaidi ni muafrika Celestine Babayaro akiwa na miaka 16.
  • Mwaka 1967 Celtic ilivunja rekodi ya kushinda kombe hilo ikiwa na wachezaji wote wazaliwa wa eneo moja(kilomita 50 kutoka uwanja wao wa nyumbani)
  • Goli la mapema zaidi ni la Roy Maakay wa Bayern Muchen katika sekunde ya 10.
The Book wa Makapuku kwa msaada wa mtandao.
The Book Asante sana kwa uchambuzi murua kabisa
 
Shukrani za dhat ziende kwako mkuu kitabu..
 
Nilikuwa napiga banda za kutosha.. ila nilipoingia secondary nikajua bata, mademu na kushi+alcohol nka-floop, japo form 4 nlpita kibahati bahati
Hapo ndio miyeyusho kwetu sote.. Nakumbuka form 6 niko azania pale napiga PCM nikampa mimba binti mmoja yuko chuo.. Ndugu yangu nilitaman dunia ipasuke nidumbukie ndani.. Sio kwa shida nilizokuwa nakumbana nazo..

Uzur siku zinapita na matatzo pia yatapiata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom