Makapuku Forum

Makapuku Forum

CtRd8m5XYAAbo48.jpg
 
KADI NYEKUNDU KWA MESSI
Messi amewahi kupewa kadi nyekundu mara moja tu,hii ikiwa ni 2005 wakati timu ya Argentina ikicheza na Hungary,wakati huo messi alikua na miaka 18.
 
Attachments

Usiyoyajua kuhusu Mpira wa Miguu!!
  • Mwanasoka wa brazil,"Pele" alipewa jina hilo la utani lenye maana ya "miguu sita" kwa kuwa alikuwa na vidole sita miguuni.
  • Mnamo mwaka 1964 simu aliyopokea refa uwanjani huko nchini peru ilisababisha vifo vya watu 300 kutokana na vurugu.
  • Katika kombe la dunia mwaka 1950 timu ya taifa ya india ilitaka kucheza peku lakini FIFA wakagoma,timu hiyo ilisusia mashindano.
  • Pele alipokwenda nigeria kucheza soka katika mechi ya ngao ya hisani,pande 2 zilizokuwa zinapigana vita zilikubaliana kusitisha vita hiyo kwa masaa 48.
The Book,kwa msaada wa mtandao.
Shukran mr the book
 
Wahindi na mashkolo mageni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom