Makapuku Forum

Makapuku Forum

PENATI YA KWANZA KATIKA SOKA
Penati ya kwanza kupigwa katika historia ya soka duniani ilikuwa ni tarehe 14 sep. mwaka 1891.Mechi kati ya WOLVERHAMPTON dhidi ya ACCRINGTON,mchezaji wa wolves,"Bill Heath" ndiye aliyepiga penati hiyo
.View attachment 407651
Alipata au alikosa

Kama alipata, penati ya kwanza kukoswa ni ipi!?
 
CtTOBPsWAAAL6g4.jpg
Mussolin5 saa ya kazi bhana, wengine kwa hili mmmmh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom