MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Huyu naye anapenda sana kulialia kama mtotoSimba hatupendagi ujinga sisi
![]()
Huyu naye anapenda sana kulialia kama mtotoSimba hatupendagi ujinga sisi
![]()
Yule dogo sasa alivyoachia mdomoDuuuh wanakula denda hadharani
nasikia pia yupo KICHURAYanga kuna Tambwe Moo FC wanaye Mifugo
Kwani vipi?
![]()
![]()
........
Sidhani, anaogopa cyber crime itakuaMkumbushe aweke labda amesahau
Hahahahaha alikuwa na kiu ya denda hahahahahaYule dogo sasa alivyoachia mdomo
Hapo mimi ningezimiaNimempigia simu demu wangu,akapokea bwana ake mwingine
- Hallo we nani??
jamaa leo tumemzika Sipendagi Ujinga mimi
- nikasema:mi daktari,mkeo huwa namkumbusha kumeza dawa za ARV kila siku,mkumbushe bhasi.
The Book wa Makapuku
Buku hela nyingi mkuu hahahahahaTupo kwenye daladala nimemgusa mtu wa mbele ili apunguze sauti ya mziki,akatoa elfu akanipa akidhani mi konda,ikabidi nitokee dirishani
sipendagi ujinga mimi
The Book wa Makapuku
Kwani tcra wanaingia huku kwa MakapukuSidhani, anaogopa cyber crime itakua
nilivopata hiyo buku ikabidi niingie bar angalau nipate kirobaBuku hela nyingi mkuu hahahahaha
Hahahahahanilivopata hiyo buku ikabidi niingie bar angalau nipaye kiroba