Makapuku Forum

Makapuku Forum


Ni saa 7 usiku mwendesha bodaboda anamalizia kuvuta bangi. Anaingia bafuni na kujimwagia kopo la kwanza na la pili, anashtuka na kuanza kupiga makelele na kutoka nje akidai bafuni kuna majini. Watu wanakuja wanamkuta uchi. Wanamuuliza kulikoni, anasema kila akijimwagia maji kichwani nywele hazilowi. lazima bafuni kuna majini. kumwangalia vizuri kichwani kumbe kavaa HELMET. .!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom