Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Subiri nimpitie my sweetie Nahrene.Karibu
Subiri nimpitie my sweetie Nahrene.Karibu
U N' IJust you and me baby
We can do it.Yes! together we can do something special@
Na nani? Usimtaje Liz lakini mana jana alikua kwa manuuLeo mkuu,si unajua hali ya hewa inashawishi kabisa,unaanzaje kuacha.
Morning...Good morning Everybody...
OkaySubiri nimpitie my sweetie Nahrene.
Hahahahaaaa...... Pole kwa kufananishwa shemale.Duh! Sir bana.... kwan hili jina limekaa ki-shemale mpaka upate shida ivo?
Mnatutamanishaa..Subiri nimpitie my sweetie Nahrene.
Akikisha umepitia hapo kwa mangi.. Chukua sabuni mche mzima...oookNaomba kuunga tela...chakula na kinywaji nitajihudumia...
Hizo ulizopata zimetoka wapi?Me mbona sipati LIKE..?
Au sio kapuku?
Kuna vibibi vina I'd tofauti hapa... Take careHahaaa mi situmii nguvu zangu bure bro ndo mana nasubiria njuka mpya kabisa huku makapukuni
Basi endelea kusubiri sisi tunakula bata.Bitoz nlisham-notify nafikiri ni suala la muda tu
Huyo youngblood hana maana kabisa asee... KumbafHahahahaaaa...... Pole kwa kufananishwa shemale.
Th Name kuna anayetaka kukupiku hapaU N' I
Sasa kama yeye anatumia ndumba huoni kama ataku changanya... Au mshana ni pastorWw ni mchawi
Nakushukuru sana kwa kunielewa...Haya nimekubaliii....
Nitaishawishi kamati.....nlijua wewe sio kapuku