Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Jinsi ya kuopoa msichana mzuriHehehehe bitoz nipe utaalamu kidogo sasa nina 45 lakini sina hata mrembo hivi ninaweza kuwa na gundu ama??
...........
Jinsi ya kuopoa msichana mzuriHehehehe bitoz nipe utaalamu kidogo sasa nina 45 lakini sina hata mrembo hivi ninaweza kuwa na gundu ama??
Mkuu tayari nimekuchora
Good morning...Good morning Everybody...
Good morning shemeji.Good morning Everybody...
Hahahah HB umetisha sana..Hao ma HB (handbag) ndio maana wanapewa mabusu mie sura teja nitaambulia msonyo tu.
Mornie baeGud morning honey? Amka nimeshakuletea samosa za moto na kahawa walahu upate joto kidogo..

Umenichora wapiii mkuu yaani sioni kabisaMkuu tayari nimekuchora
Mwenye kisu kikali ndo mla nyama, kijana changamkaHao ma HB (handbag) ndio maana wanapewa mabusu mie sura teja nitaambulia msonyo tu.
Duh! Sir bana.... kwan hili jina limekaa ki-shemale mpaka upate shida ivo?
okay sir, unajua hapa JF mambo yamekaa kushotokulia.Swalamaa kabisaaaSwalamaa
Mkuu tafuta original copy, hiyo unayoona hapo ni photocopy.Umenichora wapiii mkuu yaani sioni kabisa
ChukuaMe mbona sipati LIKE..?
Au sio kapuku?
Ni kweli naona hadi unasema mdimoni!Karibu tena mkuu.
Ila hili jina lako linanimalizia mate mdimoni.
Shemeji kwanza kama kuna malalamiko yeyote uliletewa yatakua yamesababishwa na hii mvua nilitoka nikijua ntawai kurudi nikajikuta nimekwama...Ila nimesharudi na kila kitu naweka sawa sasa..Ama kuna mengine tena shemeji?Good morning shemeji.
Ila!!!!
Hahha mkuu hii inferiority complex asee... Mbona Diamondi wanasema hana mvuto lakin ndo sukari ya warembo?Hao ma HB (handbag) ndio maana wanapewa mabusu mie sura teja nitaambulia msonyo tu.
Leo ametukomesha.Prezidaa ametisha leo
boga hilo sio mchezoView attachment 339024
morning everybody,,,,kama unakulaga kwa watu basi karibu