lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Usijali utaupata brizNitaomba mrejesho wa mtakapofikia ili na mi nikipata wangu nisisumbuke sana ntakapokuja huko bwagamoyo..
Usijali utaupata brizNitaomba mrejesho wa mtakapofikia ili na mi nikipata wangu nisisumbuke sana ntakapokuja huko bwagamoyo..
Hapana mkuu, mshana jr ndo tumemchagua awe mwangalizi wa ndoa yetu.Wataalam tena!!! Nakupa siku moja tu wewe kesho utamkuta liz kwa sumbai
Kwa raha zenu... Furahieni basiMakapuku, baadae kidogo. We are on our way to Bagamoyo with my sweetie
Baby to log out humu![]()
![]()
![]()
sijui tukukaribishe,
Nitafurahi sana.![]()
![]()
![]()
sijui tukukaribishe,
Basi itabidi unipe hyo technique uliyotumia kumnasa huyo wako asee mana ushakua LOVEGURU huku makapukuniUtasubiri sana,wewe mawindo huwezi.
Okay babe!Baby to log out humu
Asante sanaKwa raha zenu... Furahieni basi
Mimi nimeshindwa .Kweli aisee lakini tatizo ni namna ya kuweka simu chini.. Nimejaribu nimeshindwa
Ni kweli upo sahihi, ila kero na upuuzi kuna wakati unaona kabisa JF founder wanatoa Rep. Power za upendeleo kwa wale JF Premium member, ilikuwa inakera sana kipindi flani...wana kamsemo kao utasikia eti matokeo ya BRN!!
Siamini..post zake mara nyingi nikisoma naona uyo ni mkongwe kweli... Alafu ana mambo ya tanu tanuPengine ni bibi kwenye hyo avatar yake tuu
Ha ha haaa...haya bhana,kwa raha zenu.Kula moshi tu. Umeachwa na gari wewe
KaribuNitafurahi sana.
Mtafute mkuu Bitoz akupe maujanjaBasi itabidi unipe hyo technique uliyotumia kumnasa huyo wako asee mana ushakua LOVEGURU huku makapukuni
Just you and me babyKaribu
heshima itarudi tu hii JF ya memba wote sio kikundi cha wachache tu
Wamekwisha.Ni kweli upo sahihi, ila kero na upuuzi kuna wakati unaona kabisa JF founder wanatoa Rep. Power za upendeleo kwa wale JF Premium member, ilikuwa inakera sana kipindi flani...
Just you and me baby

Hahhaaa lakin hii bado haitoshi kujustify the means... Labda ni utaratibu tu aliojiwekea ili watu wasimsumbueSiamini..post zake mara nyingi nikisoma naona uyo ni mkongwe kweli... Alafu ana mambo ya tanu tanu
Umeonaeeh,mwenyewe nikiona avatar yake naamkia 'shkamoo bibi"Siamini..post zake mara nyingi nikisoma naona uyo ni mkongwe kweli... Alafu ana mambo ya tanu tanu