Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
Tena ile ya kutupiwaHehehehe bitoz nipe utaalamu kidogo sasa nina 45 lakini sina hata mrembo hivi ninaweza kuwa na gundu ama??
mkuu upo salama?Umrmshauri vema kabisa
Tena ile ya kutupiwaHehehehe bitoz nipe utaalamu kidogo sasa nina 45 lakini sina hata mrembo hivi ninaweza kuwa na gundu ama??
mkuu upo salama?Umrmshauri vema kabisa
Hahaha hiyo kawaida tu,ni kama wewe unavyotumia nguvu nyingi kutafuta.Si naona jinsi mnavyotumia muda mwingi kujihami na watu wanaowa-attack kuliko kuenjoy na hao sugarz wenu!!
Bye guys!Makapuku, baadae kidogo. We are on our way to Bagamoyo with my sweetie
Wataalam tena!!! Nakupa siku moja tu wewe kesho utamkuta liz kwa sumbaiMkuu ndoa yetu iko salama kabisa chini ya mtaalamu Mshana Jr.
Jina lako gumu.Tumetoka karibu tumefika mbali
Naomba kuunga tela...chakula na kinywaji nitajihudumia...Makapuku, baadae kidogo. We are on our way to Bagamoyo with my sweetie
Hiyo itakuwa BwagamoyoBye guys!
Hahaaa mi situmii nguvu zangu bure bro ndo mana nasubiria njuka mpya kabisa huku makapukuniHahaha hiyo kawaida tu,ni kama wewe unavyotumia nguvu nyingi kutafuta.
Wivu tu.Hiyo itakuwa Bwagamoyo
Huyu mtu jina litamsumbua sana.Jina lako gumu.
Ww ni mchawiWataalam tena!!! Nakupa siku moja tu wewe kesho utamkuta liz kwa sumbai
We ukimpata wako jifungieni ndani na simu ziwe marufuku.. Marafiki mkutane nao kwa msimu.. BaasiSi naona jinsi mnavyotumia muda mwingi kujihami na watu wanaowa-attack kuliko kuenjoy na hao sugarz wenu!!
Utasubiri sana,wewe mawindo huwezi.Hahaaa mi situmii nguvu zangu bure bro ndo mana nasubiria njuka mpya kabisa huku makapukuni
Kweli aisee lakini tatizo ni namna ya kuweka simu chini.. Nimejaribu nimeshindwaWakuu naomba tupate tea break
Nitaomba mrejesho wa mtakapofikia ili na mi nikipata wangu nisisumbuke sana ntakapokuja huko bwagamoyo..Bye guys!
Kula moshi tu. Umeachwa na gari weweNaomba kuunga tela...chakula na kinywaji nitajihudumia...
Mkuu njoo tupige "cha Arusha" Na baridi hii litakuwa rahisiJina lako gumu.
Salama kabisa Mkuu.Swalamaa