Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Kama binadamu anakufa sembuse kitu alichotengenezaHii ni ngumu kumeza.
Kama binadamu anakufa sembuse kitu alichotengenezaHii ni ngumu kumeza.
Usijali, alikuweka kwenye kundi la MAKAPUKU wengine wote.me mbona sipo jombaa, maanaake nini hiyo
Acha tu nashangaa hata busu toka kwa warembo wa makapuku hatupati hiii tunakatishana tamaa jamaniTeam popoz, kumbe ndo mkaamua kukaza jana.... Good morning!

Hahahaha si bora kwenye tv nahisi kwenye magazeti tu ya udaku na story za abunuwasi![]()
![]()
![]()

Hamna noma mkuu,kikubwa ni uzima tuTupo salama kabisa Mkuu (japo nimechelewa ku reply).
Hahaha,ngoja nikuchore.Mbona mimi sijatajwa hapoo![]()
![]()
![]()
Acha tu nashangaa hata busu toka kwa warembo wa makapuku hatupati hiii tunakatishana tamaa jamani![]()
![]()
![]()
![]()
Gud morning honey? Amka nimeshakuletea samosa za moto na kahawa walahu upate joto kidogo..Safi ...habar ya kazi??
Shemej ako anaitwa manuu
Good morning sir or Madame.Good morning EVERYBODY..!!
Hao ma HB (handbag) ndio maana wanapewa mabusu mie sura teja nitaambulia msonyo tu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu si u-point mmoja umuombe? Mbona mi naonaga wanagawa mabusu humu nje nje
Hapo sasa,naona leo Bitoz amekuja kivingineKama binadamu anakufa sembuse kitu alichotengeneza
Duh! Sir bana.... kwan hili jina limekaa ki-shemale mpaka upate shida ivo?Good morning sir or Madame.