lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Wanadhani mm harage la mbeyaWanakuonaje hawa watu Shem?
Wanadhani mm harage la mbeyaWanakuonaje hawa watu Shem?
Barikiwa sana..Hahaa asante sana shem
Asante shemBarikiwa sana..
Akuu! Sitaki mie, mara zote huwa napiga cha Simiyu kile ndo kizuri.Mkuu njoo tupige "cha Arusha" Na baridi hii litakuwa rahisi
Umeonaeeh,mwenyewe nikiona avatar yake naamkia 'shkamoo bibi"
Ngoja nimwite wangu..japo yeye sio kapuku...bebiiiiiiiiiiiiiii![]()
![]()
mwaka huu mtaisoma namba.
Shem usunbufu ukizidi tutafanya mpango wa na mabodyguard kabisa..Wanadhani mm harage la mbeya
Lazima atakuwa ni shemaleHuyu mtu sijui ni shemale!!
Bora iwe hvyo shemShem usunbufu ukizidi tutafanya mpango wa na mabodyguard kabisa..
Naona jamaa anataka nijiunge Chaputa eti..Hahahahah naona umejitambulsha faster..
Nani kakuambia?Mkuu Th Name gari imeishiwa mafuta au?
Poa mkuu tukaribishane basiJamani simu imedondoka.. Mi siokoti kwanza ngoja ninywe chai kwanza... Karibunie
Na siku hizi wanaiita selfie maana unajipiga ukiwa mwenyewe..Naona jamaa anataka nijiunge Chaputa eti..
Ni nin mbaya tena mkuu..Huyu mtu sijui ni shemale!!
Mlete tumuone hata kama ni FaizaNgoja nimwite wangu..japo yeye sio kapuku...bebiiiiiiiiiiiiiii
Ndo maana akazijua njia zote za mtu anayechepuka.Inaonesha wewe ni mtaalam sanaaa wa kuchepuka