HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Hahahahahaaaaa... ManuuuuuNa usisite kuendelea kuangaza huku na huko na wakati huo ukiwapa heshima kubwa mashemeji zako hapa..
Hahahahahaaaaa... ManuuuuuNa usisite kuendelea kuangaza huku na huko na wakati huo ukiwapa heshima kubwa mashemeji zako hapa..
Mkuu ndoa yetu iko salama kabisa chini ya mtaalamu Mshana Jr.We una raha gani?.. Babe mkali kumtumia uwezi, kila siku humu ndani kesi.... Subiri uone kama hujaachiwa manyoya.
Weka mezaniHao wenye nao ni kama hawako huru.... Mi nna definition tofauti ya kuwa huru
Hahahahaaaa... Moyo paaaaaa....We Sumbai!
Predict & winUnamaanisha Faiza fox!![]()
![]()
![]()
Hivi hawa mpaka inafikia hapo anakua katamani nini na kawaza nini aswa...
Wanaanzaje kumshobokea bibi yao?Hahahaaa, hivi mbona sioni watu kumshobokea huyo faiza?
Yaan anataka kunipandishia preshaHahahahaaaa... Moyo paaaaaa....
Si naona jinsi mnavyotumia muda mwingi kujihami na watu wanaowa-attack kuliko kuenjoy na hao sugarz wenu!!Enhee, hebu tuambie
Nimefika baby wanguNakusubiri baby!
NakuonaNimefika baby wangu
Pengine ni bibi kwenye hyo avatar yake tuuWanaanzaje kumshobokea bibi yao?
😀😀😀 kwani young we mara mwisho lini... Nianze kukushauri mapema tusije potezanaUnakuta mtu ana ukame wa miaka kumi kama jonax kwanini asikamatie chini.
Jana ulikua wapi alivyo kuja![]()
![]()
tena namtamani kweli.
Wewe pata tu,nitakuja kutoa vyombo na kufuta meza.Wakuu naomba tupate tea break
Makapuku, baadae kidogo. We are on our way to Bagamoyo with my sweetieNakuona
Leo mkuu,si unajua hali ya hewa inashawishi kabisa,unaanzaje kuacha.😀😀😀 kwani young we mara mwisho lini... Nianze kukushauri mapema tusije potezana
Hahahahaaaa......![]()
![]()
![]()
![]()
kubwa la mangariba.