Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
lengo si kukomoa, lengo ni kutufanya tuwe kitu kimoja japokuwa kuna vitu tunazidiana..Wamekwisha.
lengo si kukomoa, lengo ni kutufanya tuwe kitu kimoja japokuwa kuna vitu tunazidiana..Wamekwisha.
Hapana mkuu, mshana jr ndo tumemchagua awe mwangalizi wa ndoa yetu.Sasa kama yeye anatumia ndumba huoni kama ataku changanya... Au mshana ni pastor
Mshana...Hapana mkuu, mshana jr ndo tumemchagua awe mwangalizi wa ndoa yetu.
We ndugu yangu siko tayar kuona ndugu yangu hana raha...Hahahahahaaaaa... Manuuuuu
Teh..ya nini mkuu? Mm ni dada bhanaaAkikisha umepitia hapo kwa mangi.. Chukua sabuni mche mzima...oook
Kweli kabisa,nilimaanisha wametulia sasa.lengo si kukomoa, lengo ni kutufanya tuwe kitu kimoja japokuwa kuna vitu tunazidiana..
Shem nakusalimu..za toka jana?Okay
Nimecheka kwa sauti😀😀😀😛😛Umeonaeeh,mwenyewe nikiona avatar yake naamkia 'shkamoo bibi"
True... Upo blaza??lengo si kukomoa, lengo ni kutufanya tuwe kitu kimoja japokuwa kuna vitu tunazidiana..
Mzee wa busara.Mshana...
Hahahahah naona umejitambulsha faster..Teh..ya nini mkuu? Mm ni dada bhanaa
Anataka umpelekee Th NameTeh..ya nini mkuu? Mm ni dada bhanaa
Nzuri shemu! Mambo?Shem nakusalimu..za toka jana?
lizziebettie namheshimu sana kama shemeji wangu na yeye analitambua hilo..Na nani? Usimtaje Liz lakini mana jana alikua kwa manuu
HataniwezaSasa kama yeye anatumia ndumba huoni kama ataku changanya... Au mshana ni pastor
Binadamu wabaya* sana dah!Umeonaeeh,mwenyewe nikiona avatar yake naamkia 'shkamoo bibi"
Hahaa asante sana shemPoa sana Shem wangu wa ukweli kabisa Th Name nafurahi kusikia upo poa..Umependeza sana leo Shem..
Wanakuonaje hawa watu Shem?Hataniweza
Huyu mtu sijui ni shemale!!Huyu mtu jina litamsumbua sana.