*Mzee* mmoja aliongozana na *Binti* yake kwenda kwa *Kijana* aliempa mimba huku akiwa na hasira zaajabu.Walipo fika ilikuwa hivi:
*MZEE*: Wewe ndio ulimpa binti yangu mimba?
*KIJANA*: Mzee nikweli mimi nilimpa mimba binti yako,ila akizaa dumee nitakupa daladala10,Sheli3 na Million50 za mtaji. Akizaa jike, nitakupa supermarket 3, mashamba6 na Million40.
*BINTI Akadakia*; Je mimba ikitoka?
*MZEE*: Nyamanza mshenzi ww,si atakupa nyingine.
mzee hataki ujinga kbsaa