Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tatizo kuna pipo hazijiamini
Wanafikiri wasiposhobokashoboka kwa hivyo vingongo hawawezi kujulikana
Mbona sisi kwa sisi tupo wengi humu na tuna swaga za kufa mtu ina maana kakosa mtu wa kupoga nae swaga ?
Mtu unachagua kuwa kapuku au kingongo (KF au VF)
Siyo hauna msimamo tena wanatudhihaki tu kojanja....wasipoangalia hadi akina Ngedere watakuja kutambia hapahapa

...........
Nadhani watakuwa hawafahamu kinachoendelea kwa sababu wao ni makapuku maground ila sisi kapuku wakongwe tunatakiwa tuwaelmishe zaidi.

Maana wao wakija hapa ni kwa ajili ya sarcasm na siyo kingine
 
Kikofia siku zingine unaongea point
Once a kapuku always a kapuku

Hapa ndo srhemu yetu pekee ya kujidai ....wakikaribisha vingongo tutajidai sehemu gani sasa? Au wanapenda waanze kuambiwa "mlienda shule kusomea ujinga" na vingongo hapahapa KF

............
 
Pale unapokuwa umefulia sana...Mgeni anakutembelea Maskani kwako....Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Kampani Mgeni......Unafika Seblen Unampa Ile soda ya Fanta Mgeni anakuambia Fanta huwa situmii Nipe hiyo sprite .....Bwana....Bwana. ...Bwana....Weee

Apo ndo utagundundua morinyo anajiskiaje
Kumnunua POGBA
 
Ni kweli kabisa..
Maana hii sehemu yetu pekee ya kutambariiing hivyo wakituingilia hatutapata sehem nyngne ya kujidai tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom