Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
kweli mkuuNdo ivo
Zilibamba sana
..............
kweli mkuuNdo ivo
Zilibamba sana
..............
Kuna watu wanafikiri hii thread mambumbumbu hata waongee kwa mafumbo hatuwezi kuelewaNdo nilitaka kushangaa kwasabu najua pangaboi haiwezi kukimbizana na jet
Hali ya hewa ya kaubaridi ni moja ya kivutio kwenye huo mji sasa ikitoweka kabisa sijui itakuwaje?Kwa sasa sio baridi tena mkuu
Mambo safi tu kwema?Poa mkaka za huko ulipo
Nguvu zote za nini wkt daraja la miti au na nyie wachovu tu
Wakati mwingine ni jambo zuri kukaa kimya mkuu afu watu kama hao hawakosekani popoteKuna watu wanafikiri hii thread mambumbumbu hata waongee kwa mafumbo hatuwezi kuelewa
Mi huwa siwajibu kitu
...............
Hata hapo kuna kijitu kipo kinafiki na maneno ya kizushi tumekakalia kimyaWakati mwingine ni jambo zuri kukaa kimya mkuu afu watu kama hao hawakosekani popote
Hata hapo kuna kijitu kipo kinafiki na maneno ya kizushi tumekakalia kimya
![]()
![]()
![]()
................










HaaaahaaaaHata hapo kuna kijitu kipo kinafiki na maneno ya kizushi tumekakalia kimya
![]()
![]()
![]()
................
Waliokuwa wanazipamba walisema hvyo.Kumbe bombadier zina speed sana eti?
Basi hapo shululu anafurahia balaa akipata temporary kampani ya kipindi hiki.Nguvu zote za nini wkt daraja la miti au na nyie wachovu tu
![]()
![]()
![]()
..............
Mwisho wa mwaka hadi februari hakufaagi huku bora urudi dar, jua la huku linaunguza sana mkuu bora baridi x100Hali ya hewa ya kaubaridi ni moja ya kivutio kwenye huo mji sasa ikitoweka kabisa sijui itakuwaje?
Kesho msiniangushe, ole wenu mpigwe...
Hata hapo kuna kijitu kipo kinafiki na maneno ya kizushi tumekakalia kimya
![]()
![]()
![]()
................
bila shaka hili dongo linanihusu mm, japo nakuja kwa kuviziaHilo jua nalielewa sana huwa sio lile la kutoa jasho kama dar linachoma unaweza kuhisi labda limeshuka usawa wa mawinguMwisho wa mwaka hadi februari hakufaagi huku bora urudi dar, jua la huku linaunguza sana mkuu bora baridi x100
Siku nyingine za kuambiwa unachanganya na zako mkuuWaliokuwa wanazipamba walisema hvyo.
Watoke sare tuKesho msiniangushe, ole wenu mpigwe...
Maana nitawatania huu msimu mzima.
Aisee, msiniangushe nimekuwa shabiki wenu wa muda