shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nawe pia jiraniUsiku mwema guys...![]()
Nawe pia jiraniUsiku mwema guys...![]()
Haya bhanaUmefanya jambo jema ilikuwa imekaa kihuni sana japo tuliizoea hapa nyumbani, umekuja kivingine hii iko poa sanaaa
Unawahi wap shem lake? Wikend yote hii
Mkuu nimerudi kitambo, niko home kabsaaSafi kabisa hyo tea umetulia nyumbani ama bado upo kwenye majukumu?
Kwani bado upo bize kinoma?Mkuu nimerudi kitambo, niko home kabsaa
Valentina miss you mamaMsiniambie tu mmelala sahizi
Kumbe jide nae yumo eeh?
Namkubali sana pamoja na Prof Ndumilakuwili(avatar yangu)Sokomoko nux sana
Ok nilijua uko kwenye baridi la njeMkuu nimerudi kitambo, niko home kabsaa
Madenge ni mnaa
Siyo JideKumbe jide nae yumo eeh?
Ok, kesho mpambano ukiendea tunahitaji uwepo activesawa njoo hata kule sio mbaya utanikuta humo ila nitakuepo hapa jamvini
Ila nina wasiwasi na beki yangu tu
Ni yeye huyo?Kumbe jide nae yumo eeh?
I miss the old dyasNamkubali sana pamoja na Prof Ndumilakuwili(avatar yangu)
Bila kumsahau Pimbi na harakati zake za totoz
![]()
![]()
.........
Hana tofauti na Mandzukić aina ya mchezo wao unafanana..Ndiyo zake huyo
Uko sahihi, nilimfananisha nafikiri ni yule dada mwenye mikao ya hovyo hovyoSiyo Jide
Hebu muangalie fresh
Au macho yangu
.........
Sahihi kabisaHana tofauti na Mandzukić aina ya mchezo wao unafanana..
Suarez naye alkuwa kundi hilo kipindi yuko Liverpool