Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,078
Sasa hawa ukiwaambia watoke sare watafungwa, ni heri tuwaambie wawafunge maana hapo ndo watatoa sare sasaWatoke sare tu
Ndo vizuri
.............
Sasa hawa ukiwaambia watoke sare watafungwa, ni heri tuwaambie wawafunge maana hapo ndo watatoa sare sasaWatoke sare tu
Ndo vizuri
.............
Sisi tupo vizuri sanaNguvu zote za nini wkt daraja la miti au na nyie wachovu tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
Ni kweli usemacho brizWakati mwingine ni jambo zuri kukaa kimya mkuu afu watu kama hao hawakosekani popote
Nawe piaHapa nasinzia tu [emoji42][emoji42][emoji42] muwe na usiku mwema wadau
Jonax buana, Sasa hivi niBasi hapo shululu anafurahia balaa akipata temporary kampani ya kipindi hiki.
Shida yetu utuvunjie lile daraja tu, japo na nyie ni wachovu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hilo jua nalielewa sana huwa sio lile la kutoa jasho kama dar linachoma unaweza kuhisi labda limeshuka usawa wa mawingu
Karibu uchukue na kadi kabisaKesho msiniangushe, ole wenu mpigwe...
Maana nitawatania huu msimu mzima.
Aisee, msiniangushe nimekuwa shabiki wenu wa muda
Kesho jitahidi mtoe sare bhassJonax buana, Sasa hivi niView attachment 405826
[emoji2] nmekuwa mshika bunduni kwa mudAJonax buana, Sasa hivi niView attachment 405826
Ungabure sasa hivi anaisoma tu[emoji2] nmekuwa mshika bunduni kwa mudA
[emoji12] mm nashabikia team tu ambazo zimewahi kubeba UEFA.Karibu uchukue na kadi kabisa
Wakati huyo haijabadilishwa[emoji12] mm nashabikia team tu ambazo zimewahi kubeba UEFA.
vipi nyie mmeshawahi kubeba UEFA ili nihamie tram yenu?
[emoji2] anaisoma nn?Ungabure sasa hivi anaisoma tu
Siwaoni mbonaKwani huoni kama wako macho
Kwema kabisa mpendwaMambo safi tu kwema?
Hahahahaha amuulize malaika hahahahaMuulize MKWEPA KODI
Hahahahaha kweli mkuuHumu ni chimbo...Jina lenyewe tu Makapuku linaogopeka
Kuna Series nilikuwa naivutia pumzi niiangalie...jana nimelala saa tisa na dakika 53.Unawahi wap shem lake? Wikend yote hii
MhhhhValentina miss you mama
Habari ya kitambo