Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
TupoSiwaoni mbona
TupoSiwaoni mbona
GUD MONING SHULULI!Morning all
Yani asubuhi asubuhi tu usha piga VRB? kweli we ndio jonax sWakubwa marahaba..
Wadogo zangu shkamooni..View attachment 405902
Kuna nini huko kwenye gazeti la MtanzaniaKumekuchaaaaa....soma soma gazeti...soma MTanzania kwa habari za uhakika na za kuaminika gazeti Mtanzania! soma gazeti lilo la uhakika Mtanzaniaaaaaaaa
Muite JJ alete magazeti.
Morning 2 TetramelyzGUD MONING SHULULI!
Ulikuwa hujamjua tuYani asubuhi asubuhi tu usha piga VRB? kweli we ndio jonax s
Huo ni wimbo ulikuwa unapigwa sana radio flani hivi nimeisahau ila ni kipindi cha magazeti hivi miaka ya 99.Kuna nini huko kwenye gazeti la Mtanzania
Kwakweli sikumjua kabisaaUlikuwa hujamjua tu
Ile ni take away babu, VRB unaviweka hata mifukoni kwa hyo ni uamuzi wako uingie navyo bungeni,class, au mkutanoniYani asubuhi asubuhi tu usha piga VRB? kweli we ndio jonax s

We mkongwe, ulikuwa na umri gani huo wakati?Huo ni wimbo ulikuwa unapigwa sana radio flani hivi nimeisahau ila ni kipindi cha magazeti hivi miaka ya 99.
Mchukue huyo mtu wako mkachat Vingongo FirumTupo
Mkuu yule Vale & Tinner habusiki na hii threadMtuache na chelsea yetu bitoz
Nilikuwa primary na nakumbuka hizo nyimbo kipindi naandaliwa kwenda shule.We mkongwe, ulikuwa na umri gani huo wakati?
Mkuu mbona mnaweza kulisongesha kibishibishi tuI can't imagine Makapuku family without you guys
Huyu hasikiki kabisa, japo ameshapewa taarifaMchukue huyo mtu wako mkachat Vingongo Firum
Unatuharibia mood
Acha kushoboka
.......................
Basi we ni mdogo tu kwangu, maana mm nlimaliza primary 1982Nilikuwa primary na nakumbuka hizo nyimbo kipindi naandaliwa kwenda shule.

Tatizo kuna pipo hazijiaminiHuyu hasikiki kabisa, japo ameshapewa taarifa
Unaandaliwa?Nilikuwa primary na nakumbuka hizo nyimbo kipindi naandaliwa kwenda shule.