Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Sabato njemaSokomoko nux sana
Sabato njemaSokomoko nux sana
Sio Jide lakini huyo.Kumbe jide nae yumo eeh?
Kwi kwi kwi kwi kwiKitwanga ana maneno makali....
Sio yeyeNi yeye huyo?
Huyo Kikofia msimsikilize ni tapeli mkubwa hapa mjini msikilize
....mi naumwa pia kuna kitu kimeniweka bize si mnajua siyo kila siku lazima niwepo
Hii ni thread ya Makapuku wote
Nisipokuwepo mimi au Jimena nyie lisongesheni tu sio kupiga mi kelele
.............
HahahahahaOgopa sana kama unachart na Dem halafu akakwambia:- "Nikwambie kitu!??"zima simu uwashe kesho mana kinachofuta ni mzingaa
Wanaume kwanini hampendi mizinga?
Morning uliyekwepa kulipa kodiHahahahaha amuulize malaika hahahaha
Ataleta soon...Shikamoo mama yangu Jimena Jimenes, leo nadhani huendi kazini kwa hiyo nafikiri hatutapata mkate wetu
Moningi mama mdogo Sweetiepie, niajeMorning uliyekwepa kulipa kodi
Mungu ambariki sana kwa kutupa mkate wetu wa kila sikuAtaleta soon...
Mtuache na chelsea yetu bitozNguvu zote za nini wkt daraja la miti au na nyie wachovu tu
![]()
![]()
![]()
..............
Nini sasa unaguna?Mhhhh
Huyu naye anaacha dola anakomaa na Bomu mweee
Mkuu usicheze na hela hahahahaha*Mzee* mmoja aliongozana na *Binti* yake kwenda kwa *Kijana* aliempa mimba huku akiwa na hasira zaajabu.Walipo fika ilikuwa hivi:
*MZEE*: Wewe ndio ulimpa binti yangu mimba?
*KIJANA*: Mzee nikweli mimi nilimpa mimba binti yako,ila akizaa dumee nitakupa daladala10,Sheli3 na Million50 za mtaji. Akizaa jike, nitakupa supermarket 3, mashamba6 na Million40.
*BINTI Akadakia*; Je mimba ikitoka?
*MZEE*: Nyamanza mshenzi ww,si atakupa nyingine.
mzee hataki ujinga kbsaa
Kumekuchaaaaa....soma soma gazeti...soma MTanzania kwa habari za uhakika na za kuaminika gazeti Mtanzania! soma gazeti lilo la uhakika MtanzaniaaaaaaaaKumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chake