Makapuku Forum

Makapuku Forum

*Mzee* mmoja aliongozana na *Binti* yake kwenda kwa *Kijana* aliempa mimba huku akiwa na hasira zaajabu.Walipo fika ilikuwa hivi:
*MZEE*: Wewe ndio ulimpa binti yangu mimba?

*KIJANA*: Mzee nikweli mimi nilimpa mimba binti yako,ila akizaa dumee nitakupa daladala10,Sheli3 na Million50 za mtaji. Akizaa jike, nitakupa supermarket 3, mashamba6 na Million40.

*BINTI Akadakia*; Je mimba ikitoka?

*MZEE*: Nyamanza mshenzi ww,si atakupa nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mzee hataki ujinga kbsaa
 
Usisahau kuleta uchambuzi mkifungwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Hahaaaa!
Eti wanamtegemea huyu
1474651809176.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usije ukakimbia tu kesho hapa..
Maana ukishinda ndo unakuja huku unajifanya mchambuzi.
Yani kesho baada ya hiyo mechi kumalizika kama sitakuona hapa nitakuja kujutafuta mpaka kule kwenye ile thread yenu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mchambuzi mbuzi full ushuzi
Mnazi wa The Blauziii
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
 
Back
Top Bottom