Makapuku Forum

Makapuku Forum

Na kweli unawakubali hao...yaani kila weekend ulikuwa unazipiga home nakumbuka[emoji4]
Nafurah kila nikikumbuka ulivyokuwa huzipendi, ila baada ya kukupa lyrics ukaanza kumuelewa tupac n bob marley..

Hasa keap ya head up, me n my girlfriend na do for love.. Ukija geto lazima uziweke enzi za kubambiana kwa kuiba iba..

Letterto my unborn child, uliipenda saana hii nyimbo enzi ujauzito wako wa kwanza.[emoji179] [emoji179] [emoji8]
 
Screenshot_2016-09-13-22-01-51.png
 
Back
Top Bottom