Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Jamani nimemiss 10 bora...











To be honest eneo nililompenda ni kukataa uzembe kazini, nilikuwa napata shida sana nikienda kupata huduma ofisi za umma,Uzuri mimi sijawahi mkubali hata siku moja
Hooooo KAGAME ni namba nyingine wew acha kabisa,Hapo umeongea amagambo ya maana haswaa Mh. Kagame.
Kuna mtu aliitwa Majid Musisi alikuwa Villa, aliwasumbua sana Yanga katika Fainali ile iliyofanyika pale Nakivubo, Kampala.Wengine hatukuwa wakubwa kivile japo akina Lunyamila walitawala maskioni mwetu...shikamoo Mussolin5
Shululu umesoma historia tu weweHiyo ilikuwa kali sana Naya mwaka 1988 ya kina marehemu selestini sikinde mbunga
Kumbe ilikuwa timu kali eeh??Reli ya Morogoro
Tusiongee sana,maana duTo be honest eneo nililompenda ni kukataa uzembe kazini, nilikuwa napata shida sana nikienda kupata huduma ofisi za umma,
Niligombana nao mara nyingi kwa upuuzi wa kupotezewa muda
Mara njoo kesho
Mara unakuta jitu laongea na cm
Mara vile
Nimegombana nao mara nyingi
Lkn sasa kuna afadhali kidogo
Kwa kazi nimemkubali
Mengine daah basi tu
Kuna mtu aliitwa Majid Musisi alikuwa Villa, aliwasumbua sana Yanga katika Fainali ile iliyofanyika pale Nakivubo, Kampala.
musso unanifurahisha sana, wew ndo bila shaka ni kingongo chetu, kisima cha busara za umri

Musisi ilikuwa hatari sana,Robart AloloKuna mtu aliitwa Majid Musisi alikuwa Villa, aliwasumbua sana Yanga katika Fainali ile iliyofanyika pale Nakivubo, Kampala.
Mimi sio Kikongwe. Sijavuka hata 25Wengine humu walikuwa bado kuzaliwa
Cc swtp
Sacajo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kagame ni mfano wa kuigwa!Hooooo KAGAME ni namba nyingine wew acha kabisa,
Umefika Rwanda!
Waziri wake akifanya madudu anaitwa ikulu
Anavuliwa mkanda anapewa mikanda ya kutosha, anajifuta taratiibu na kuuvaa tena,
Hapo ndo kasemehewa hiviii
Acheni woga, ikiwa tukiwakosoa wakatudhuru, watoto na wajukuu zetu watafaidi dhamira zetuTusiongee sana,maana du
Ilitikisa nchi.Kumbe ilikuwa timu kali eeh??
Kuna vitu ukipenda kuvifuatilia unakutana na vitu vitamu vitamu kama hivyoShululu umesoma historia tu wewe
Hahaha...Hamna sii kingongo ila tu ni kutenga muda na kufatilia mambo!!![]()
![]()
![]()
musso unanifurahisha sana, wew ndo bila shaka ni kingongo chetu, kisima cha busara za umri
![]()
![]()
![]()
Udikteta wa Kagame umewaletea manufaa Warwanda sana tu, nchi yaoo kwa sasa ni tamu haswaKagame ni mfano wa kuigwa!
BubuUnamkumbuka yule babu
Mikdadi Jumanne
Dah nimepoteza kumbukumbu zakeUnamkumbuka yule babu
Mikdadi Jumanne
Simaanishi uko mzee kivile, najaribu kumkumbuka classmate wako naona kiasi flani uko mbeleHahaha...Hamna sii kingongo ila tu ni kutenga muda na kufatilia mambo!!