Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Udikteta huu sielewi ni wa aina gani.Udikteta wa Kagame umewaletea manufaa Warwanda sana tu, nchi yaoo kwa sasa ni tamu haswa
Hapa kwetu kelele hata usafi umetushinda
Udikteta huu sielewi ni wa aina gani.Udikteta wa Kagame umewaletea manufaa Warwanda sana tu, nchi yaoo kwa sasa ni tamu haswa
Hapa kwetu kelele hata usafi umetushinda
Nia inaweza kuwa ni njema lakin ktk wrong wayUdikteta huu sielewi ni wa aina gani.
We Mussolin5 amini amini nakwambia....hujafika miaka 35. OvaIlitikisa nchi.
Sio woga, tatizo ni nchi yetuAcheni woga, ikiwa tukiwakosoa wakatudhuru, watoto na wajukuu zetu watafaidi dhamira zetu
Narudia tuache woga tusema wazi
Tunachopenda na tusichokipenda
Shululu upo kwenye 28 hadi early 30s.Kuna vitu ukipenda kuvifuatilia unakutana na vitu vitamu vitamu kama hivyo
Tupo tuSio woga, tatizo ni nchi yetu
Ukitaka kupambana unapambana wewe, wenzako wote wanarudi nyuma
Sasa utafanyaje?
Unataka kumrithi shee Yahya nini jiraniShululu upo kwenye 28 hadi early 30s.
hahaha...Simaanishi uko mzee kivile, najaribu kumkumbuka classmate wako naona kiasi flani uko mbele
Ameshaniachia mikoba tayari.Unataka kumrithi shee Yahya nini jirani

Hahaha...umekosa!We Mussolin5 amini amini nakwambia....hujafika miaka 35. Ova
UmetishaAmeshaniachia mikoba tayari.![]()
Ohoooo mussolin yuko ova 40 wewWe Mussolin5 amini amini nakwambia....hujafika miaka 35. Ova
Naona amegongaUnataka kumrithi shee Yahya nini jirani
Namanisha hujavuka yani unacheza kwenye middle 30s hadi late 30s forty bado hujatimba.Hahaha...umekosa!
Wala.Ohoooo mussolin yuko ova 40 wew
Sisi ndo tunajua hilo niamini, hata yy kakwambia umekosaWala.
AmekoseaNaona amegonga
Huwezi bisha uko 30th mkuu na hujazidi 38Amekosea
Yanga tamu sanaIla pamoja na kuwa siipendi Yanga, Ila Yanga ya Mwaka 1993 pale Kampala, Uganda katika Michuano ya Vilabu vya Afrika Mashariki na Kati ( CECAFA ) ilitikisa na ikawa gumzo.
Ilikuwa na Kenneth Mkapa, Said Nassoro Mwamba " Kizota ", Silvanus Ibrahim " Polisi " , Edibily Jonas Lunyamila ambaye aliliteka Jiji la Kampala na Vitongoji vyake.