Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Km unazo postNdio......maana naona za simba unaweka tatu halafu hao ngamia unaweka kama 10
Umekatazwa?
...................
Km unazo postNdio......maana naona za simba unaweka tatu halafu hao ngamia unaweka kama 10
Ndio kondoo mwema nitashukuruNikupe za dini au? padre mtarajiwa![]()

Reli ya MorogoroIpi hiyo coastal union ama
Naikumbuka, ila ilikuja baada ya hizo timu, ikawa imechukua nafasiReli ya Morogoro
Swadaktaaa...Reli-moro
Ntakurushia basiNdio kondoo mwema nitashukuru![]()
![]()
![]()
Sio sanaHiyo ilikuja baadaye
Haya nasubiriNtakurushia basi
Wengine hatukuwa wakubwa kivile japo akina Lunyamila walitawala maskioni mwetu...shikamoo Mussolin5Ila pamoja na kuwa siipendi Yanga, Ila Yanga ya Mwaka 1993 pale Kampala, Uganda katika Michuano ya Vilabu vya Afrika Mashariki na Kati ( CECAFA ) ilitikisa na ikawa gumzo.
Ilikuwa na Kenneth Mkapa, Said Nassoro Mwamba " Kizota ", Silvanus Ibrahim " Polisi " , Edibily Jonas Lunyamila ambaye aliliteka Jiji la Kampala na Vitongoji vyake.
Hiyo ilikuwa kali sana Naya mwaka 1988 ya kina marehemu selestini sikinde mbungaIla pamoja na kuwa siipendi Yanga, Ila Yanga ya Mwaka 1993 pale Kampala, Uganda katika Michuano ya Vilabu vya Afrika Mashariki na Kati ( CECAFA ) ilitikisa na ikawa gumzo.
Ilikuwa na Kenneth Mkapa, Said Nassoro Mwamba " Kizota ", Silvanus Ibrahim " Polisi " , Edibily Jonas Lunyamila ambaye aliliteka Jiji la Kampala na Vitongoji vyake.
mi nakupenda wewe pie.Kama hiyo niliyoiweka kwenye Old is ever Gold....napenda oldies, R&B and pop.
Mi ni mwanaume nitake radhi tafadhali.mi nakupenda wewe pie.
Twende sote..
Mi ni mwanaume nitake radhi tafadhali.
Unazo radhi ngapi unipe na mimi???Season hii West ham watamfukuza kocha