Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
MmetishaaHiyo ilikuwa kali sana Naya mwaka 1988 ya kina marehemu selestini sikinde mbunga
MmetishaaHiyo ilikuwa kali sana Naya mwaka 1988 ya kina marehemu selestini sikinde mbunga
Haaaahaaaa, Quigley katika ubora wakeHuwezi bisha uko 30th mkuu na hujazidi 38
Kabisa, ila hii ya Manji imepoteza kabisaYanga tamu sana
Haijawahi kupoteza ubora wake
WivuAiya.. Man u wameuziwa mgomba!!![]()
![]()
Duuh! Mkuu sio kwa kunizeesha huko!Ohoooo mussolin yuko ova 40 wew
Bado...hata 30 sijafikaNamanisha hujavuka yani unacheza kwenye middle 30s hadi late 30s forty bado hujatimba.
Wamejivika utabiriBado...hata 30 sijafika
Namkaushia tu vistori vyake fekiNgoja aje jimena
Kufanyaje??Kidongo chekundu huko shululu anaendaga na Nyehunge!![]()
Mi sijawahi kumkubaliHuyu jamaaa alipokuwa waziri wa miundombinu nilimpendaga bureee yaani nilimpenda haswaaa
Ila kichwani kuko vizuri sanaMimi sio Kikongwe. Sijavuka hata 25
Acha kuficha umri mkuu sio vyemaMimi sio Kikongwe. Sijavuka hata 25
Basi na tuipe heshima yakeIlitikisa nchi.
Utabiri hewa. aka Utabiri au chwara.Wamejivika utabiri
Asante!!Ila kichwani kuko vizuri sana
Alikuwa anapiga kigoma cha RTDUnamkumbuka yule babu
Mikdadi Jumanne