makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,960
- 104,367
Teh teh teh.. Wamekutana na vibibi vizee vya turin, vichaw hivyo.. Wakapewa mgomba..Tatzo walikuwa wazembe kwenye makabidhiano
Teh teh teh.. Wamekutana na vibibi vizee vya turin, vichaw hivyo.. Wakapewa mgomba..Tatzo walikuwa wazembe kwenye makabidhiano
Ndo nashangaa kujinasibu eti wazee wa kaziWale ni vijana wa sengelii sio kazi
Amekudanganya niniKumbe we muongoo
Wengine humu walikuwa bado kuzaliwaIla pamoja na kuwa siipendi Yanga, Ila Yanga ya Mwaka 1993 pale Kampala, Uganda katika Michuano ya Vilabu vya Afrika Mashariki na Kati ( CECAFA ) ilitikisa na ikawa gumzo.
Ilikuwa na Kenneth Mkapa, Said Nassoro Mwamba " Kizota ", Silvanus Ibrahim " Polisi " , Edibily Jonas Lunyamila ambaye aliliteka Jiji la Kampala na Vitongoji vyake.

Sacajo naomba nitagie yule Pogba alivyokuwa mdogo...!Na sisi simba tumeshinda moja![]()
![]()
NimeonaKuna mtu amemdanganya sio mimi![]()
![]()
POGBA originalSacajo naomba nitagie yule Pogba alivyokuwa mdogo...!
au yule fake wa man uAanhaa......nadhani yule ni kingongo kama sijakoseaNimeona
Me nimezaliwa zama zile za kuwinda kwa kutumia mifupa sasa nitakosa vipi???Wengine humu walikuwa bado kuzaliwa
Cc swtp
Sacajo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Uwiiii jamani watu wana dhambu ni wakorofi!POGBA original![]()
au yule fake wa man u



Umekuwa Yaba-daba-doooooo!!!Me nimezaliwa zama zile za kuwinda kwa kutumia mifupa sasa nitakosa vipi???![]()
![]()
![]()
Hapana huo ndio ukweli wa mambo.......POGBA mwenyewe yuko huko kwao anakula gud taim wao wanaangaika na huyo fakeUwiiii jamani watu wana dhambu ni wakorofi!![]()

View attachment 402101[/QUOTE]Ni kweli![]()
![]()
![]()
QUOTE="sacajo, post: 17673568, member: 377130"]Me nimezaliwa zama zile za kuwinda kwa kutumia mifupa sasa nitakosa vipi???![]()
![]()
![]()

Uko wrong....labda Sacajo na JonaxWengine humu walikuwa bado kuzaliwa
Cc swtp
Sacajo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()