Nimeamua kuwa dekteta wa ukweliAvatar sijaielewa kabisa
Kama hiyo niliyoiweka kwenye Old is ever Gold....napenda oldies, R&B and pop.wapenda miondoko gani jirani?
Utanisamehe bure......kwa hao ngamia siwezi kutoa like yanguu
Wewe na Udicteta wapi na wapi Quigley?![emoji23][emoji23][emoji23]Nimeamua kuwa dekteta wa ukweli
Cc kagame
Ulikuwepo zama za uwimbo na uwimbombo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sikuwepo zama za mawe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Hujaelewa niniAvatar sijaielewa kabisa
Nipe ngoma kali na mimi nisikilize[emoji4] [emoji4]Napenda ila leo nna mood ya muziki sana kama jirani Shululu leo yuko kwenye mood ya mpira.
Kwani kuna mtu kakulazimisha?Utanisamehe bure......kwa hao ngamia siwezi kutoa like yanguu
Ipi hiyo coastal union amaKiboko ya Vigogo umeisahau
Ohooo mwanadamu huwezi kumfahamu kiundani, kwa kweli huwa ni mtu mwema sana tena kwa watu wema, kinyume chake najifahamu...japo sio sawa na mtukufu kgm na mzee wa chaatle[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe na Udicteta wapi na wapi Quigley?![emoji23][emoji23][emoji23]
Reli-moroIpi hiyo coastal union ama
Hapo sasaWewe na Udicteta wapi na wapi Quigley?![emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana aiseeUlikuwepo zama za uwimbo na uwimbombo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio......maana naona za simba unaweka tatu halafu hao ngamia unaweka kama 10Kwani kuna mtu kakulazimisha?
Au mashauzi
.........
Hiyo ilikuja baadayeReli-moro
Nikupe za dini au? padre mtarajiwa [emoji5]Nipe ngoma kali na mimi nisikilize[emoji4] [emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa yeye si amesema hakuwepo zama za mawe basi alikuwepo zama kabla ya za maweNimecheka sana aisee
Reli ya MorogoroNi ipi hiyo?