Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Ndo wapi uko!!!Mwenzio atamuweka mzee wa Chatle![]()
Nafikiri umejionea mwenyewe hapo juuMwenzio atamuweka mzee wa Chatle![]()
Juu ipiNafikiri umejionea mwenyewe hapo juu
Ulale sasa khe!Sema tuuuuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Mzee wa chattleJuu ipi
Notifications tatizoUlale sasa khe!![]()
Kidongo chekundu huko shululu anaendaga na Nyehunge!Ndo wapi uko!!!

Zinachelewa ama niajeeeNotifications tatizo
Haziniruhusu kulalaZinachelewa ama niajeee
Huyu jamaaa alipokuwa waziri wa miundombinu nilimpendaga bureee yaani nilimpenda haswaaaNimerudi na kipenzi shetuView attachment 402108
Weka picha ya huyo aliyezaliwa
Sahv je?Huyu jamaaa alipokuwa waziri wa miundombinu nilimpendaga bureee yaani nilimpenda haswaaa


AmeonaView attachment 402111 Nimemsaidia
Uzuri mimi sijawahi mkubali hata siku mojaHuyu jamaaa alipokuwa waziri wa miundombinu nilimpendaga bureee yaani nilimpenda haswaaa
Yapo mambo mazuri anayafanyaSahv je?![]()
Hapo umeongea amagambo ya maana haswaa Mh. KagameYapo mambo mazuri anayafanya
Lakini baadhi anakosea sana
Hasa kauli zake zinamwangusha sana.
Kuongoza watz ni rahis mno ukiwa na kauli ck zinaenda
.Huo ndio ukweliHapo umeongea amagambo ya maana haswaa Mh. Kagame.
HaswaaaaHuo ndio ukweli