Leo nipo dstv mpira, si unajua tenaJirani Check Magic.
Wanaisoma namba sasa
Nani aibe?Ngoja uibiwe na udhamini wako
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.............
AksanteMlikuwa nami Swt P kwa udhamini mnono wa Liverpool, tuonane tena kesho. Enjoy your weekend!![]()
Tena kwa darubin kwa mbaaaliiiWanaisoma namba sasa
Kiboko ya Vigogo umeisahauMECCO, SIGARA, NYOTA NYEKUNDU, PLISNER, PAMBA MWANZA NA MAJI MAJI SONGEA YA ENZI HIZO
Hizi timu wakati ilikuwa burudani sana
Watu walikuwa wanajitoa sana kucheza na mpira upo mpaka kwenye damu
Poa jirani haina shidaLeo nipo dstv mpira, si unajua tena
Avatar sijaielewa kabisaKweli
Sio nduguSijajua
jirani wewe hupendi mpira kwani?Poa jirani haina shida
Napenda ila leo nna mood ya muziki sana kama jirani Shululu leo yuko kwenye mood ya mpira.jirani wewe hupendi mpira kwani?
Ni ipi hiyo?Kiboko ya Vigogo umeisahau
Pole my sissyAvatar sijaielewa kabisa
wapenda miondoko gani jirani?Napenda ila leo nna mood ya muziki sana kama jirani Shululu leo yuko kwenye mood ya mpira.