Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi nipo ChitChat na Jukwaa la siasa napitaga mara moja moja kukiwa na ishu hot, MMU huwa napita nasoma thread za watu najichekea... linalonigusa nachangia nasepa...na tangu nijiunge JF sijawahi kutoa Uzi kama uzi zaidi ya humu tu ila segment ya Old is gold.
Ndo hivo kuna watu ni MUCH KNOW
Halafu vichwani weupe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
 
Mi kule intelligence napapenda sana yani hata nisipochangia ila ni lazima nisome thread za kule tena sana
Mi azunguka majukwaa nengi kimyakimya najifunza vitu vingi ....km kitu kinanigusa nacomment km sijui nakaa kimya
Siwezi anzisha thread ya vitu nisivyovimudu au ilimradi tu nijulikane
................
 
Weka picha
295df3e7944f9cbd5fab192a54163ffd.jpg
 
*Jana baada ya kukosa usingizi nikakumbuka maneno ya wahenga alalae usimuamshe ukimuamsha utalala wewe, nikaenda zangu kwenye kambi ya jeshi nikakuta wanajeshi wawili wamelala nikawamwagia maji ,,sasa ivi niko zangu muhimbili nimelala sina tatizo na mtu...*
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom