Kumbe ni jina lako la ukooHahaha nimejitahidi lakini sio mbaya
Hapo unashangilia timu gani sasa
HatariWanamuinea sana, pia ligi ya matangazo mengi nayo ni shida
Sasa kama yule kule ni fake tufanye nini zaidi ya kumtafuta original![]()
![]()
![]()



Haha sio bhaanaKumbe ni jina lako la ukoo
Mbeya City ni timu ya wansnchiHapo unashangilia timu gani sasa
Unaikumbuka MECCO?Mbeya City ni timu ya wansnchi
Prisons timu ya magereza
Wanyaki timu yao ni Mbeya City
..........
IliahakufaUnaikumbuka MECCO?
Ndio maana nikasema unaikumbuka?Iliahakufa
.............
Naangalia hapa, vijamaa vimefunga gori moja uwanja nzima umeshangilia sana
SijajuaVanessa huyu huyu mwanamziki aliyeimba save the best for last??
MECCO, SIGARA, NYOTA NYEKUNDU, PLISNER, PAMBA MWANZA NA MAJI MAJI SONGEA YA ENZI HIZOSikuwepo zama za mawe
![]()
![]()
![]()
........
Mpira wa kizamani kucheza kwa mapenziMECCO, SIGARA, NYOTA NYEKUNDU, PLISNER, PAMBA MWANZA NA MAJI MAJI SONGEA YA ENZI HIZO
Hizi timu wakati ilikuwa burudani sana
Watu walikuwa wanajitoa sana kucheza na mpira upo mpaka kwenye damu
KweliMpira wa kizamani kucheza kwa mapenzi
Mpira wa kisasa pesa
...........
Alaa kumbe!!Nenda habari na hoja mchanganyiko
Ni Mchawi
.........
SijajuaNi ndugu wa serena williams nini???