Makapuku Forum

Makapuku Forum

295df3e7944f9cbd5fab192a54163ffd.jpg
Pongezi ziende kwakee
 
*Jana baada ya kukosa usingizi nikakumbuka maneno ya wahenga alalae usimuamshe ukimuamsha utalala wewe, nikaenda zangu kwenye kambi ya jeshi nikakuta wanajeshi wawili wamelala nikawamwagia maji ,,sasa ivi niko zangu muhimbili nimelala sina tatizo na mtu...*
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sisi ni wazee wa kazi[emoji61] [emoji61]
 
Back
Top Bottom