makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,900
- 104,143
Picha ni ya kuchora..Wamezichora hizo nguo alizovaa sio za kweli!! angalieni vizuri...hata mikonon kama kuna rangi hivi nyeupe nadhan ilibanduka kidogo
Picha ni ya kuchora..Wamezichora hizo nguo alizovaa sio za kweli!! angalieni vizuri...hata mikonon kama kuna rangi hivi nyeupe nadhan ilibanduka kidogo
Aone macho yenyewe anayo basi...Bitoz kaona
Majigambo wale ni kipaji toka moyoni!!jana nilikuwa safari nikapita bukoba yani hapavutii kabisa, sijui wanatoaga wapi majigambo yao
Mmoja ulikuwa na viwanda, na mmoja ulikuwa na viwanda...1830 - Reli ya kutoka Jijini Liverpool mpaka Jijini Machester yazinduliwa rasmi.
Iliunganisha miji hiyo miwili kibiashara ambapo mji mmoja ulikuwa na viwanda wakati mji mwingine ulikuwa na viwanda.
mkubwa hachekwiiR.i.p mwamba1978 - Muhammad Ali anampiga Bondia hodari aliyekuwa na nguvu za mkono mmoja, Leon Spinks na kuwa bondia wa kwanza kushinda mataji matatu mfululizo ya ubingwa wa uzito wa juu.
Yuko sawa 100% na hicho ndio kitu ninachokiamin siku zote katika idara ya mapenzView attachment 400655 Wale wanaotamani vyura na uzuri wa sura...mwenzenu huyo Nas Escobar anajuta kubroke up na aliyekuwa mwanamke wake wa muda mrefu.
Katika euro wenzie wote walikuwa son, son tu, kasoro yeye ndio jina lake linaishia na sen.1978 - Eidur Gudjohnsen anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na Barcelona.
Pia alikuwa ni mchezaji wa timu ya taifa ya Iceland.
Sijui selection hii ya kuzaliwa familia fulani imekaaje.. Maana sielew..1984 - Prince Harry anazaliwa.
Ni mjukuu wa Malkia wa Uingereza.
Halaf unaweza kukuta zali linamuangukia mjukuu..Baba yao Prince Charles anasubiria Ufalme toka kitambo sana!
Hivi hakuwemo kwenye kikosi eehh..Samtaimu maisha hayatendi haki kastaafu halafu Iceland ndo ikafanya maajabu EURO 2016
.......
Ronaldo halijui hata kombe la uefa linafananaje maskiniThe world is not fair mkuu.
Kama Giggs na ujanja wake wote hajawahi kucjeza Kombe la Dunia wala Euro.
Sema tu hana roho ya kisafa.. Wengine wanaua wazaz wao kupata utajiri wa milion 30, itakuwa huyo ubilionea.Angekuwa ni mtu baki angemuua.
Ila sasa ni mama yake Mzazi.
Hyo ujerumani ni marufuku..View attachment 400690View attachment 400692View attachment 400693
Unataka kumpigia Dikteta Uchwarer?
........
Bale ana haki ya kutamba.. Ila huy ramsey wetu, ni ngekewa tuuNa Bale
Bora alistaafu mapema maana angeharibu.......wenzie son eti yeye senKatika euro wenzie wote walikuwa son, son tu, kasoro yeye ndio jina lake linaishia na sen.
Kweli mkuu.....maaana kifo hakitabilikiHalaf unaweza kukuta zali linamuangukia mjukuu..
Poa, upo?Mambo vp
Mbona unafurah badala ya kumuonea hata huruma..