Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Nawakubali sana!Hawa wanazi ni shida
Nawakubali sana!Hawa wanazi ni shida
Moja ya uhasama ni pale ambapo Mmoja wao alipoamua kujitenga na mwenzake.
1984 - Prince Harry anazaliwa.
Ni mjukuu wa Malkia wa Uingereza.
Hawapikiki chungu kimoja.Na mpaka leo Marekani ni adui wa Magaidi na Magaidi ni maadui wa marekani.
Hawatapatana mileleMoja ya uhasama ni pale ambapo Mmoja wao alipoamua kujitenga na mwenzake.
Kingongo
Baba yao Prince Charles anasubiria Ufalme toka kitambo sana!View attachment 400681View attachment 400682View attachment 400683
Ni mtoto wa pili wa Princess Diana
..........
Samtaimu maisha hayatendi haki kastaafu halafu Iceland ndo ikafanya maajabu EURO 2016Kingongo
The world is not fair mkuu.Samtaimu maisha hayatendi haki kastaafu halafu Iceland ndo ikafanya maajabu EURO 2016
.......
Si wamuue Queen ElizabethBaba yao Prince Charles anasubiria Ufalme toka kitambo sana!
Angekuwa ni mtu baki angemuua.Si wamuue Queen Elizabeth
![]()
![]()
![]()
........
Halafu Ramsey kaja kutambaThe world is not fair mkuu.
Kama Giggs na ujanja wake wote hajawahi kucjeza Kombe la Dunia wala Euro.
umemalizia vizuri sana. shukrani anywaysLeo katika Historia:
Sina la Ziada, toka mitamboni kwa udhamini mnono wa D.B. Cooper tukutane kesho.
Bye!
Bitoz weka na picha ya saluti ya kinazi
Asante sanaLeo katika Historia:
Sina la Ziada, toka mitamboni kwa udhamini mnono wa D.B. Cooper tukutane kesho.
Bye!
Leo ni siku ya Kimataifa ya Demokrasia.
Anko wa Chatle sijui anadhimisha vipi hii.





Huo ni uchochezi...Leo ni siku ya Kimataifa ya Demokrasia.
Anko wa Chatle sijui anadhimisha vipi hii.

NdioooEeeh....![]()
Yule Queen ni kingongo hafi! wanamzushia kufa lakin waapiSi wamuue Queen Elizabeth
![]()
![]()
![]()
........