Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Hawa wanazi ni shida1935 - Utawala wa Manazi nchini Ujerumani chini ya Dikteta Adolph Hitler unatambulisha rasmi bendera mpya ya Nchi hiyo yenye nembo ya Swastika.
Hawa wanazi ni shida1935 - Utawala wa Manazi nchini Ujerumani chini ya Dikteta Adolph Hitler unatambulisha rasmi bendera mpya ya Nchi hiyo yenye nembo ya Swastika.
1830 - Reli ya kutoka Jijini Liverpool mpaka Jijini Machester yazinduliwa rasmi.
Iliunganisha miji hiyo miwili kibiashara ambapo mji mmoja ulikuwa na viwanda wakati mji mwingine ulikuwa na viwanda.
Hongera zaoLeo katika Historia:
1821 - Nchi za Guatemala, El Salvador, Honduras, Nicaragua na Costa Rica zajitangazia Uhuru toka kwa Spain.
Bitoz weka na picha ya saluti ya kinazi1935 - Utawala wa Manazi nchini Ujerumani chini ya Dikteta Adolph Hitler unatambulisha rasmi bendera mpya ya Nchi hiyo yenye nembo ya Swastika.
1935 - Utawala wa Manazi nchini Ujerumani chini ya Dikteta Adolph Hitler unatambulisha rasmi bendera mpya ya Nchi hiyo yenye nembo ya Swastika.
1978 - Muhammad Ali anampiga Bondia hodari aliyekuwa na nguvu za mkono mmoja, Leon Spinks na kuwa bondia wa kwanza kushinda mataji matatu mfululizo ya ubingwa wa uzito wa juu.
Na mpaka leo Marekani ni adui wa Magaidi na Magaidi ni maadui wa marekani.2001 - Rais George W. Bush anahutubia Taifa, baada ya mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na Kikundi cha Al Qaeda.
Katika hotuba hiyo Rais Bush alitangaza vita yake dhidi ya Magaidi popote pale Duniani.
Ikumbukwe siku ya tukio la September 11, Rais Bush alikuwa shule moja huko New York, ghafla akafatwa na walinzi wake na kupelekwa katika ndege ya Airforce One na rubani kuelekea uelekeo wa Ghuba ya Mexico ambapo walikaa angani mpaka hali ya usalama ilipotengemaa na kurudi Ikulu Jijini Washington D.C
2001 - Rais George W. Bush anahutubia Taifa, baada ya mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na Kikundi cha Al Qaeda.
Katika hotuba hiyo Rais Bush alitangaza vita yake dhidi ya Magaidi popote pale Duniani.
Ikumbukwe siku ya tukio la September 11, Rais Bush alikuwa shule moja huko New York, ghafla akafatwa na walinzi wake na kupelekwa katika ndege ya Airforce One na rubani kuelekea uelekeo wa Ghuba ya Mexico ambapo walikaa angani mpaka hali ya usalama ilipotengemaa na kurudi Ikulu Jijini Washington D.C
1946 - Tommy Lee Jones anazaliwa.
Ni actor na muongozaji wa filamu toka nchini Marekani.
Moja kati ya movie alizoekti ni U.S Marshal. Pia kuna Harrison Ford is Fugitive.
1951 - Johan Neeskens anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Uholanzi ambaye alikuwepo katika kikosi bora zaidi cha Uholanzi kilichofungwa fainali na Ujerumani, katika kombe la Dunia mwaka 1974.
1978 - Eidur Gudjohnsen anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na Barcelona.
Pia alikuwa ni mchezaji wa timu ya taifa ya Iceland.