Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sema tu hana roho ya kisafa.. Wengine wanaua wazaz wao kupata utajiri wa milion 30, itakuwa huyo ubilionea.
Amezaliwa katika familia ya kitajiri hajui shida ipoje, ni nadra sana kufanya hivyo.

Halafu yeye ni wa pili katika orodha ya urithi wa kiti cha Ufalme baada ya baba yake ambaye ndio namba moja.
 
Mambo vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........................................................................????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Nini sasa mbona unachukia BARCELONA
1473952039089.jpg
 
NUKUU NO 1#

Amani hupatikana unapokubali kuketi meza moja ya adui yako unayemchukulia kuliko wote
Na hapo ndipo unapoweza kumtambua kiongozi aliye jasiri

Anapokubali kuketi na adui yake kwa majadiliano maana yake ni kwamba anajiamini - na hiyo ni sifa kubwa kwa kiongozi bora

Haya yalisemwa na mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Askofu mkuu Desmond Tutu wa Africa kusini.
Alizaliwa huko Klerkdorp, Africa kusini October 7,1931
Mwaka 1978 aliteuliwa kuwa katibu mkuu wa baraza la makanisa ya Africa kusini

Mwaka 1985 aliteuliwa kuwa askofu wa kanisa la Anglican jimbo la Johannesburg na mwaka 1986 akawa askofu mkuu wa Capetown - mweusi wa kwanza Africa kusini kushika nafasi hiyo
 
Viva Tutu
 
NUKUU NO 2#

Nilianzisha mapambano ya kuikomboa Cuba nikiwa na wapiganaji 82.
Kama leo ningerudia kuanzisha mapambano hayo, ningelikuwa wapiganaji Kati ya 10na 15 tu lakini wenye imani kubwa
Katika harakati za kuleta mapinduzi, haijalishi mko wachache kiasi gani ilimradi wote mna imani kubwa na mnachotaka kukifanya

Maneno haya yatamkwa na Rais wa zamani wa Cuba, Fidel Castro.
Alizaliwa huko biran, Cuba Agosti 13,1926
Baada ya kuipindua serikali ya dikteta Batista mwaka 1959,Castro Aliiongoza serikali kama waziri mkuu.
Baadaye akawa Rais kuanzia mwaka 1976 hadi 2008 alipomuachia nafasi hiyo ndugu yake Raul kwa sababu ya kuzorota kwa afya yake
Mpaka sasa afya ya Castro haijatengemaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom