Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Yeah hajavaa nguoWamezichora hizo nguo alizovaa sio za kweli!! angalieni vizuri...hata mikonon kama kuna rangi hivi nyeupe nadhan ilibanduka kidogo
Bukoba mjini ndio pananishangaza ni kidongo chekundu mwanzo mwisho. Hapavutii.jana nilikuwa safari nikapita bukoba yani hapavutii kabisa, sijui wanatoaga wapi majigambo yao
Ndiyo maana nikasema bitoz kaona, mimi niliona,nikasema kasoro kubwa ilipo, mengine nikawaachia vipofu wengineNiliwapima vipofu km ww
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.......

Wamekusikia hasa yule mpishiNdiyo maana nikasema bitoz kaona, mimi niliona,nikasema kasoro kubwa ilipo, mengine nikawaachia vipofu wengine![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio! hadi zimekuwa vileafu sahivi unamuona hafai.
me padre mtarajiwa......siwezi kufanya vitu hivyoBadili jina ujiiite Padre ili wasikusumbue![]()
![]()
me padre mtarajiwa......siwezi kufanya vitu hivyo
Umenena vyema shululu......ngoja nianze processBadili jina ujiiite Padre ili wasikusumbue
We nae....mwanajeshi padre tokea lini![]()
![]()
me padre mtarajiwa......siwezi kufanya vitu hivyo
Sasa hivi nasomea upadre......ila bado ni mjedaWe nae....mwanajeshi padre tokea lini

Leo katika Historia:
1821 - Nchi za Guatemala, El Salvador, Honduras, Nicaragua na Costa Rica zajitangazia Uhuru toka kwa Spain.
Eeeh....Sasa hivi nasomea upadre......ila bado ni mjeda![]()
![]()
![]()

kumbe na wewe umepaona, stendi ya basi uliionaje?Bukoba mjini ndio pananishangaza ni kidongo chekundu mwanzo mwisho. Hapavutii.