Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata hotel zao hazina chumba namba 13
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata hotel zao hazina chumba namba 13
KaribuMiss u more!
Huko ni wateule tu!Ok lakini sio kwa vipengele kama fisikia mana huko naonaga ngozi nyeupe tu
Simfukuzi bhaana [emoji16]Aacha kufukuza kondoo wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] amini hivyo hivyo hata kama sio kweliJamani hii ni bukoba kweli hii!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa chumba namba 5 Nyati[emoji23][emoji23]Ati Alikuwa kazini [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Hapana mkuu.......labda wawe wamelazimishwa kusomea usistaHata masista wenyewe nao sio.
Ha kondoo wana hali mbaya maana utawachinja wewe badala ya kuwachunga![emoji23]Ni chunge kondoo
[emoji23][emoji23][emoji23]Unamkubali mpaka unaumwa eeh
Basi kama ni hivyo basi kura yangu umepataAnza ww si nmeshaona id yangu halali na pic halali kwenye profile yangu we kapuku vipi?
Ni kweli hesabu hazidanganyi lakin sayansi inapoanza kuingiliana na imani hapo ndo ukakasi unaanzaga
Kuna mtu aliisema ndo na mimi nimeshangaa....mi mwenyewe hapa nimeshangaa!!Duh! hauna hata kapicha ka hiyo kalenda kanogeshe hii comment?
Bado...[emoji17][emoji17]Umeshapata ya kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wabongo kutwa kujisifia ooh mi sili sembe huyo Mzee wala Dona halijui
PadreKwanini humuamini na wewe??
Hapana mkuu......me siwezi kula kondoo wa masista......Maana nimejipanga........na nitakuwa nafunga na kuombaAaah wewe mistake!!???, hata na wewe ukiwa unakula kondoo na masista utakuwa unasema ni mistake tuu eeeh?
[emoji23][emoji23]Au uwe mvuvi wa kuvua watu
Kuhusu unasema unasomea upadri [emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini huniamini???
Fitina zipo tangu kitambo sanaYeah mke wa Mkuu wa Majeshi Huria akampeleka mbele ili auawe ajipatie mzigo kiulaini...daah
Ngoja nianze kuzitafutaYaah ukizichemsha tu inasemekana ni nzuri sana kwa memory boosting